Msaada: Roaming ya Safaricom simcard Tanzania na internet yao

Msaada: Roaming ya Safaricom simcard Tanzania na internet yao

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Wajameni najua wengine wataleta dhihaka hapa ila nahitaji masaada kwa ambaye ameweza kutumia laini ya Safaricom Kenya kwa minajili ya internet , inafanyaje , charges zake?
 
Back
Top Bottom