Msaada:Sabuni na mafuta ambayo zinafanya ngozi kuwa soft bila kuchubua

madam boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
701
Reaction score
742
Habari warembo
Kwa mwenye kufahamu sabuni, na mafuta ambayo hayachubui kwa ajili ya uso na ngozi kwa ujumla, naomba anifahamishe,
Kwani uso wangu unamafuta mengi na kupelekea Kuwa na vichunusi vidogovidogo .
Na visiwe vya gharama saaana. Kwani vyuma vimekaza [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Na vimekaza haswaa hahah! tafuta face cream inaitwa Kanza inapatikana kwenye maduka ya wahindi na waarabu bei 20000.Ukijipiga zaidi jilipue kwa Dr.Joani akupe KENNITE nzuri nayo bei 60000.Urembo gharama uwiiii
 
[emoji23] Asante my ngoja nijaribu
 
Back
Top Bottom