Habari warembo
Kwa mwenye kufahamu sabuni, na mafuta ambayo hayachubui kwa ajili ya uso na ngozi kwa ujumla, naomba anifahamishe,
Kwani uso wangu unamafuta mengi na kupelekea Kuwa na vichunusi vidogovidogo .
Na visiwe vya gharama saaana. Kwani vyuma vimekaza [emoji16][emoji16][emoji16]