ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Swali gani hilo,Wana JF wote wanaishi DSM.Unatokea wapi?
Looh wanaoishi mkoani je ni wakimbizi humuSwali gani hilo,Wana JF wote wanaishi DSM.
You can't be serious!!Swali gani hilo,Wana JF wote wanaishi DSM.
Nataka kusafiri next month kwa kutumia usafiri binafsi gari aina ya Noah old model.
Kwa mwenye uzoefu snipe makadirio ya mafuta kiasi gani nitatumia kutoka Dar es Salaam hadi Mbeya.
Please.
Tanzania ina mikoa mingapi?Swali gani hilo,Wana JF wote wanaishi DSM.
Naheshimu maoni yako mkuu nitakua makini,ni kweli.Kua makini Mkuu Noah ni chinjachinja ukileta mbwembwe tunakusahau
Asante kwa ushauri mzurikama gari lako linatumia lita 1 ya mafuta kwa kilometa 9 then calculate kama ikitembea kilimeta 817 itakunywa lita ngapi, hii ni siple calculation. au nikusaidia gawanya 817 Kms kwa 9 utakazo pata ndio idadi ya mafuta utakazo tumia ila sasa weka ziada kidogo. haya iko hivi 817 : 9= 90.7 approximately 91 Liters basi weka maximum 96 liters utaenda utafika kumbuka inaweza ikapungua endapo tutatembelea speed ambayo ni ......... malizia mwenyewe.
Thanks!Kwa mujibu wa Google Map yangu, Kutoka Dar mpaka huku Mbeya ni kilometers 817km,, So kwa gari dogo inaniambia unatumia masaa 14 na dakika 50 mpaka kufika huku... Sasa nadhani itakurahisishia kujua utatumia litres ngapi za wese kama unajua gari lako linakunywa litres ngapi kwa 1km..