ππKabla ya kwenda kununua mzigo pitia riverside pale upumzike kidogo kesho yake ukanunue mzigo
Asante weka namba zako pmBro karibu dar,mi Niko kkoo mtaa wa Aggrey na Ndanda. Ninauza machine za bakery na vifaa mbalimbali. Ukihitaji msaada wowote wa kkoo nitakusaidia au nitakuunganisha na watu watakaokusaidia Ili kupata uenyeji. Karibu sana.
Kuna maduka ya bidhaa za jumla na rejarejaToa maelezo mazuri mkuu riverside kuna huduma gani
Kuna danguro.Toa maelezo mazuri mkuu riverside kuna huduma gani
Hamjambo Waungwana,
Nmekuja na bandiko la kuomba ushauri , wiki ijayo nina safari ya kutoka kahama kwenda daresalam, pia nikiri kua huko niendako ni mgeni sijawaih kufika, naenda kuhemea mzingo kariakoo wa nguo
Lengo la bandiko
Naomba mnisaidie usafiri wa kutoka kahama basi lenye huduma nzuri,
Nikifika dar sina mwenyeji kipi cha kuzingatia Kutokana na huu ugeni wangu ndani ya jiji kubwa la daresalaam.
Exalioth yuda
Jamiiforums
Geita
Kwaio mkuu kupandia geita na kahama bora kupiKwa urahisi zaidi,pandia Phantom,kuna coaster zinazokuja D'Slam zinatembea usiku. Sharti usiwe na mzigo. Utafika mida ya saa mbili hivi. Nguo kama ni mtumba au mpya,hujaeleza. Hakika itakuchukua siku mbili. Hapo utalala guest. Kesho yake angalia Happy Nation au Kisboo kwa ajili ya safari ya kurudi. Hapa unaweza panda linaloondoka saa tisa.
Usimsikilize huyo[emoji3][emoji3][emoji3]Toa maelezo mazuri mkuu riverside kuna huduma gani
π π π π πKabla ya kwenda kununua mzigo pitia riverside pale upumzike kidogo kesho yake ukanunue mzigo
Kapandie tinde mzee pale una options nyingi za gari za mwanza, kahama, shinyanga zinazoenda dar, niliwahi kuotea TX moja ya mumama, tena akajua ni dereva kwahiyo nilienda dar free of chargeKwaio mkuu kupandia geita na kahama bora kupi
Geita sawa,Kahama sawa kwa basi utafika usiku. Na changamoto utakazozipata usiku ugenini ni nyingi kuliko usafiri usiku,ufike asubuhiKwaio mkuu kupandia geita na kahama bora kupi