Msaada: Said Jamal Athumani anatafutwa

Msaada: Said Jamal Athumani anatafutwa

Dr Alfonsi

Member
Joined
Jun 16, 2023
Posts
36
Reaction score
72
Ndugu zangu:
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.

Huyu ndugu anayetafutwa asili yake ni Zanzibar, Baba yake mzazi alishafariki. Lakini amekulia Dar es salaam.

Ana mjomba wake maeneo ya Kinondoni.

Mjomba wake by 2020 alikuwa ni Dr. Hapo maeneo ya Kinondoni. Said Jamal ATHUMANI katika
maisha yake ameishi zaidi Dar japokuwa na asili ya Zanzibar.

Hatafutwi kwa ubaya hapana isipokuwa kuna ndugu yake alipotezana nae muda mrefu huko Dar toka mwaka 2020, na huyo ndugu yake alipoteza mawasiliano nae toka mwaka 2020.

Ndugu yake huyo anahangaikia sana kumtafuta bila mafanikio, na yupo wilayani Tunduru mkoa wa Ruvuma.

Kama kuna mtu anamfahamu basi naomba tuwasilane ili niweze kutuunganisha na ndugu yake huyo.

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU.
 
Hayo majina aisee nimeshtuka!!
 
Wapemba wengi,wanyamwezi pamoja na warangi walio wengi hapa mjini ni wehu na walevi na mateja sijui ni kwanini
 
Back
Top Bottom