Msaada salon wanayobadili style ya nywele

Msaada salon wanayobadili style ya nywele

Beeb

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2018
Posts
29,394
Reaction score
59,069
Habari za jioni waungwana
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea hapo juu..naomba kujua salon yenye kufanya huduma ya kubadili style ya nywele iliyopo hapa Dar es salaam

Natanguliza shukrani
 
Nywele yangu ipo ivyo urefu wake
IMG_20181218_014147_987.jpeg
 
We yna2 wewe!!
Mbona izo nzuri tu?

By the way,nimezipenda,wakwale msije mkasema najitongozesha mi nimemsifia tu.
 
We yna2 wewe!!
Mbona izo nzuri tu?

By the way,nimezipenda,wakwale msije mkasema najitongozesha mi nimemsifia tu.
[emoji23][emoji23]

Usijali bana

Nimezichoka nataka fashion nyingine
 
Okey

Yani nimemaanisha ziwe kama za huyo Dada alivaa kiremba
Nimekupata sasa, lakini hiyo style ni kwa nywele za asili sijui kama nywele yenye relaxer inaweza kutokea vizuri.

kwa msaada zaidi ingia you tube.

 
Back
Top Bottom