Msaada: Samsung A71 5G ina tatizo la kukaa na chaji

Msaada: Samsung A71 5G ina tatizo la kukaa na chaji

passion_amo1

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2023
Posts
1,828
Reaction score
3,922
Wakuu Heshima mbele.

Kama kichwa cha habari kinavyosema, hii simu nilinunuaga Zanzabar ikiwa vzuri. Nikawa naitumia muda mwingi na ipo kwenye umeme, baadae nikaona ukiitoa BETRI aikai na chaji kabisa.

Mafundi wa Samsung mnaweza kuniambia nifanye nini na gharama zake.

Ahsanteni.
 
Uliinunua used?

Kama ndiyo achana na biashara ya kuitengeneza weka kabatini hiyo hela unayotaka kuitia kwa fundi jichange uongeze ununue simu nyengine tu.
 
Wakuu Heshima mbele.

Kama kichwa cha habari kinavyosema, hii simu nilinunuaga Zanzabar ikiwa vzuri. Nikawa naitumia muda mwingi na ipo kwenye umeme, baadae nikaona ukiitoa BETRI aikai na chaji kabisa.

Mafundi wa Samsung mnaweza kuniambia nifanye nini na gharama zake.

Ahsanteni.
Ulitoa betri haikai na chaji Kabisa sijaelewa hapo
 
Ukisha toa betri,hiyo chaji ulitaka ikae wapi? kwenye cover la simu ama?
nafikiri alikuwa ana maanisha kipindi anapoitoa katika umeme Labda kama alikuwa anaichaji ili aitumie inawahi kuisha kama sijakosea atakuwa ana maanisha hivyo.
Atupe tu hiyo simu maana bei yake sijui kutengeneza itakuwa shngap
 
Back
Top Bottom