passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
HapanaUliinunua used?
Ulitoa betri haikai na chaji Kabisa sijaelewa hapoWakuu Heshima mbele.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, hii simu nilinunuaga Zanzabar ikiwa vzuri. Nikawa naitumia muda mwingi na ipo kwenye umeme, baadae nikaona ukiitoa BETRI aikai na chaji kabisa.
Mafundi wa Samsung mnaweza kuniambia nifanye nini na gharama zake.
Ahsanteni.
MtukutuUlitoa betri haikai na chaji Kabisa sijaelewa hapo
Ukisha toa betri,hiyo chaji ulitaka ikae wapi? kwenye cover la simu ama?ukiitoa BETRI aikai na chaji kabisa.
nafikiri alikuwa ana maanisha kipindi anapoitoa katika umeme Labda kama alikuwa anaichaji ili aitumie inawahi kuisha kama sijakosea atakuwa ana maanisha hivyo.Ukisha toa betri,hiyo chaji ulitaka ikae wapi? kwenye cover la simu ama?