MSAADA - Sarafu ya Tanzania

MSAADA - Sarafu ya Tanzania

nessonlegend

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
1,698
Reaction score
1,512
wakuu habari zenu, nilikuwa napita mtandaoni ghafla nikakutana na huu mtandao Numista unatumika kuuza sarafu za mataifa mbalimbali hususani zile za miaka ya nyuma kidogo. Sasa binafsi nikakumbuka kumbe nina hazina ya sarafu chache naambatatisha hapa chini. Je hizi sarafu nikienda Benki kuu naweza kuzibadili kwa reasonable price au niendelee kuziweka ndani tu???
IMG_0979.JPG
IMG_0982.JPG
IMG_0984.JPG
IMG_0986.JPG
IMG_0987.JPG
IMG_0989.JPG
IMG_0990.JPG
IMG_0992.JPG
IMG_0993.JPG
IMG_0994.JPG
IMG_0995.JPG
IMG_0996.JPG
 
Back
Top Bottom