Msaada: Scholarship (cheti cha kiingereza)

Msaada: Scholarship (cheti cha kiingereza)

mkalenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
290
Reaction score
23
Poleni na majukumu wakuu.,
nilikua nafuatiria maswala ya scholaship wakaniambia nitafute chet cha kiingereza na pasport ya miaka kumi kwenda nchi yoyote, sasa shida inakuja jinsi ya kupata cheti cha kiingereza mwenye uelewa kuhusu cheti hicho naomba msaada anieleweshe na jinsi ya kukipata.
natanguliza shukran wakuu,​
 
Back
Top Bottom