Msaada: Scholarships

msugupendigwite

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
137
Reaction score
26
Wadau, 'Nominating Agency' wa hapa Tanzania kwa scholarship zinazotolewa na commonwealth ni nani?
 
Kama wewe ni mtumishi wa umma, nenda wizara ya utumishi lakini uwe na barua ya mwajiri wako, kama haupo katika public service basi ujue hizo scholarship hazikuhusu, ni za public servants only, so hizo tuachie wazee wa posho za vikao na training na stori nyingi za ofisini na mabirika makubwa ya chai na majibu mabaya kwa wateja na wazee wa kufunga ofisi mapema na wazee wa ED kibao na walalamishi wa viwango vya mishahara na .... endelea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…