Msaada: Screen ya TV AilLyons inazima Kila baada ya dakika 50

Msaada: Screen ya TV AilLyons inazima Kila baada ya dakika 50

Statistics

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
3,666
Reaction score
7,788
Ni skrini ya mpiga kura AILYONS, hutoa ujumbe kuwa inazimika.....bonyeza any key ndipo inaendelea.

Nini kifanyike kuondoa hiyo dhahama?
 
Jaribu kubonyeza haraka haraka kwenye tv yako 1147 kisha OK....hii kwa smart tv hata za kawaida pia zina obey.
 
Back
Top Bottom