habali wandugu,
niwapi?, naweza kupata huduma ya kufundishiliwa mwanangu masomo ya ziada
hasa kipindi hiki cha sikukuu ya pasaka ambapo amekuja kwa mapumuziko
na iwe ni mazingira mwanza mjini at least kama maeneo haya; uhuru, rufiji, kirumba, kitangili, pansiasi, mecco
, nyakato yaani.. within the city. mtoto yuko form one.
Asanteni