Msaada:Sehemu ya kufanyia field

Msaada:Sehemu ya kufanyia field

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
861
Reaction score
1,547
Habari zenu Wakuu

Niende moja kwa moja kwenye mada husika

Mimi ni mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam, Mwalimu Nyerere Main Campus.Ninaomba msaada wa kupata eneo la kufanyia mafunzo kwa vitendo kwa kozi ya Economics and Statistics

Msaada wako unaweza kuwa wa kuniunganisha moja kwa moja au hata kunielekeza sehemu ambazo huwa wanapokea wanafunzi wa field

Ahsanteni sana na Niwatakie siku njema
 
Inatakiwa uwe Pro active kabla ya muda haujafika tayari umeshajua utafanyia wapi , ikiwezekana unafanya mawasiliano zaidi ya sehemu moja na kujenga mahusiano, kama ndo unachofanya hongera ila kama ndo muda umefika na ndo unatafuta nakuombea upate pia.
 
Mda bado mkuu mpaka September huko
 
Duh kumbe humu vijana wadogo kabisa ., natumaini utapata msaada dogo.
 
Be bold Kama unavyokuwaga bold kumfukuzia binti unayempenda na unaweza ukamsotea. Jinsi unavyotongoza wengi the same principle inatumika kuomba mahala pengine Mana Maisha ni probability nothing is sure or black/white. Am sure hayo mambo unafundishwa kwenye ecometric na probability of quantifying uncertainty so tumia icho icho cha darasani kwenye Maisha.
Mie Kama unapenda trading jiunge namie huwa napenda mtu tunayeweza kuongea Naye masuala ya trading and investment
 
Shukrani Mkuu
 
Back
Top Bottom