Mda bado mkuu mpaka September hukoInatakiwa uwe Pro active kabla ya muda haujafika tayari umeshajua utafanyia wapi , ikiwezekana unafanya mawasiliano zaidi ya sehemu moja na kujenga mahusiano, kama ndo unachofanya hongera ila kama ndo muda umefika na ndo unatafuta nakuombea upate pia.
Safi hivyo ndo inatakiwaMda bado mkuu mpaka September huko
Shukrani MkuuBe bold Kama unavyokuwaga bold kumfukuzia binti unayempenda na unaweza ukamsotea. Jinsi unavyotongoza wengi the same principle inatumika kuomba mahala pengine Mana Maisha ni probability nothing is sure or black/white. Am sure hayo mambo unafundishwa kwenye ecometric na probability of quantifying uncertainty so tumia icho icho cha darasani kwenye Maisha.
Mie Kama unapenda trading jiunge namie huwa napenda mtu tunayeweza kuongea Naye masuala ya trading and investment