Msaada: Sehemu zinazofundisha lugha ya kijerumani, kichina na kituruki, Dsm

Msaada: Sehemu zinazofundisha lugha ya kijerumani, kichina na kituruki, Dsm

Blue-ish

Member
Joined
Aug 26, 2022
Posts
63
Reaction score
120
Hello guys, ninaomba msaada wa kujua centers zinazofundisha lugha ya Kijerumani,Kichina na kituruki Tanzania, Dsm.

Thanks
 
Thank you all,but nishapata sehemu ya kujifunzia Kijerumani..
Goethe Institut,Upanga.
 
Kuna jamaa anaitwa Jeff yuko mlimani city anafundisha kijeruman
 
UDSM wanafundisha kichina ni shida.Imagine black anaongea kichina-ni zaidi ya tatizo.
 
soma kijerumani utatoboa na ukichanganya na elimu .ujerumani unakwenda .rafiki zangu wangu wamepitia humo
 
Nunua kitabu cha kujifunza kijerumani + fatilia youtubr kwa video kwenye kila topic kama salamu, majina ya wanyama, wingi na umoja, n.k
 
Back
Top Bottom