Msaada: Service muhimu za pikipiki

afande kifimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2015
Posts
6,303
Reaction score
2,716
Wakuu Poleni na Majukumu.

Je ni service gani muhimu sana na za lazima kwa either Kila siku, au Kila wiki Au kila mwezi....na kama za mwaka zipo....

Yani unaapokuwa na chimbo kama Haoujue, Hero, Boxer, Honda, TVS, Yamaha etc huwa kila wiki unatakiwa ufanye servicegani, na kila mwezi service gani?

Asanteni
 
Kama ni mpya kabisa jitahid saaana kubadilisha oil iliyokuwemo pia peleka kwa mafundi kwa ajili ya kuongezea gris sehem muhimu wanazielewa!

Kama itakuwa n matumiz binafsi na huna matumiz nayo saana ya mfano kukupeleka kazin asubuh unaipark had jioni kukurudisha hom unaipark hapo kwa mwez unabadili oil mara moja sio mbaya kama n ya bodaboda walau kila wiki badili oil

Lakin pia jitahid kufanya matengenezo pale unapoona kuna tatizo la aina yoyote kuliko kuendelea kuitumia na ukijua utalirekebisha baadae!

Jitahid kuwa na vifaa muhimu uendeshapo pkpk

Kwa kuitunza vizur pkpk ako kama boxer tumia oil za total au puma na ununue kwenye vituo vyao hiv vya mafuta acha kabisa kunua madukan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…