Msaada: Sexual therapist in Dar es Salaam

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
2,162
Reaction score
3,088
Habari zenu,

Mimi ni kijana wa miaka 26, ninatatizo la sexual performance anxiety, nilienda kupima sexual hormonies nikakuta ziko vizuri, na pia nimepima matatizo yote yanayoendana na hali ya kutokuwa na hard erection ikiwemo semen production, ugonjwa wa moyo na kisukali nikajikuta niko vizuri.

Mwisho nikagundua kuwa ninasumbuliwa na sexual performance anxiety (lack of sexual confidence) nahitaji kujua kama kuna mtu aliexperience hali kama yangu alitumia njia gani kupona au mtu ambaye anamjua daktari au hospitali nzuri ambayo naweza kupata counciling nzuri (sexual therapy)

NB: Kwa kupitia uchunguzi wangu ambao usio lasmi nimegundua kuwa tatizo langu limechangiwa na tabia yangu ya zamani ya kujichua
 
Jenga tabia ya kutomuona mwanamke ana grade kubwa kwako kuliko wewe,ona kwamba ni mtu ambae yupo kwaajili yako kumsulubu kwenye game,na hakikisha hufumbi macho,abgalia kila kona ya mwili wake bila chembe ya aibu,na usichukue ambae hana hamasa kwako!,kama jogoo analegalega ,usiwe unarembaremba sanaa,we kakisimama tight kung'uta mpaka utakakopo mzoea,UMEPONA
 
Tumia dawa za kienyeji, moja inaitwa Mild fielder na nyengine inaitwa Yakutipika, hizo dawa ni noma.
 
Tatizo hili hutokea sana kwa watu wanaojichua na usipofanya jitihada za haraka utaweza kuja shindwa kabisa kufanya tendo hilo...
Nini hutokea ni kwamba hisia zako umezisukuma mbali mno kiasi kwamba hata ukimuona mwanamke mwili hauwezi sense wenyewe na kupeleka hisia zako ndani ya mwili mpaka utumie mkono kujichua huku ukivuta picha ya Naomi Campbell ndo atleast hisia zinaanza kuja...
Cha kufanya sasa usifanye tendo lile na msichana ambaye una malengo nae ama mnaeishi nae mtaa mmoja maana utaendelea kupata hofu kwamba utashindwa na atakutangaza kuwa huwezi na kitendo cha kupata hofu hiyo tu kitu hakita simama, Tafuta mwanamke ambaye humjui kabisa na hutokuja kukutana nae tena ikiwezekana hata wale wanaojiuza tumia kinga...Mkiingia ndani pasa machine moto kwa mkono kama unajichua kitu ikianza kuwika tu piga japo ukiingiza tu italala mara moja we chomoa piga jeki tena fanya hivyo hivyo...Itakuchukua kama mara 4 ama 5 ukifanya hivyo baada ya hapo gari itawaka kabisa na haitahitaji kusukumwa tena...Nilichoandika si masihara ni tiba ya kweli kwa mwenye tatizo kama lako na huwezi ipata bure hii mbali na hapa JF.
 
Pamoja na ushauri mzuri coxson hapo juu , unaweza kunywa grants( whisky) robo glass kabla ya tendo au viagra
 
Asante sana mkuu.. Nimepata ushauri wako
 
Ninashukuru sana, nimekichukua ulichokiandika, nitakifanyia kazi, asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…