J Mbungi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 269
- 74
(NAOMBA MWENYE ROHO YA KUGUSWA ASICHOKE KUSOMA MAELEZO HAYA..MAAANA NI LAZIMA NIJIELEZE JAPO KIDOGO NDIO NIELEWEKE)
Samahani waungwana, Naamini badhayenu mtanielewa na atakayeguswa naomba anisaidie(Tusaidiane)
Nina shamba lka ekari 20(Bagamoyo njia ya Msata( Kijiji cha MASUGRU)..
Ni shamba jipya kabisa( Yaani nimefyeka msitu na kuanza kuandaa shamba kwa ajili ya kilimo cha Mahindi na Alizeti Msimu huu wa mwezi wa Tatu).
Kwa bahati Mbaya nimepata matatizo ya kifamilia kwenye huu mwezi ulio isha juziWa Pili)...Na kuyumba sana kipesa..Kwa kweli nilikuwa nipo katika hatua za mwisho za Kupanda(Maana na Mbegu tayari nimeisha iandaa).... Kwa bahati katikati ya mwezi wa pili mvua zime nyesha, na watu wengi waliweza kupanda, ila kwa kuwa mimi nilikuwa na matatizo sikuweza..
Sasa wiki jana ndio nimerudi na matatizo yamepoa kidogo..Sasa Nimeenda shamba kwa ajili ya utaratibu wa kupanda, lakini nimekuta majani/Mbegu za miti fulani hivi zimeota kwa kasi karibia sehemu kubwa ya Shamba..
Kwa maana hiyo aliwezi kupandwa mpaka sehemu hizo zipunguzwe majani...(Ili isiwe taabu kwenye palizi)
Kwa kusema ukweli ninahitaji nguvu kazi ya haraka( Kabla ya tarehe kumi na tano( Liwe tayari tena kwa ajili ya kupanda) .. Maana mvua za msimu zime anza na kufikia muda huo zitakuwazimechanganya kweli kweli...
MSAADA: NAOMBA MWENYE UTASHI WA KWELI NA ALIYEGUSWA NA HARAKATI ZANGU AWASLIANE NA MIMI MAPEMA IWEZEKANOVYO.. ILI TUWESZE KUZUNGUMZA NA KUKUBALIANA..
KIMSINGI.. NINA HITAJI UFADHILI WA SHILLING 1,00,000(MILIONI MOJA TU! KWA MAKUBALIANO MAALUMU( YAANI MKOPO WENYE RIBA YEYOTE ILE ILIMRADI NIPATE NAFASI YA KUTOSHA KABLA YA KUREJESHA MKOPO HUO) HATA KAMA RIBA NI ASILIMIA MIA MOJA)....
AU TUINGIE MAKUBALIANO KISHERIA KABISA( NIMKODISHE HILI SHAMBA YEYE ALIENDELEZE KUTOKEA LILIPOFIKIA..
NAMBA ZANGU: 0784 355775 (AU ANI- INBOX)..
AHSANTENI