Sijui upo mkoa gani ila panda bus shuka Ubungo.
Kisha lala hapohapo subiri pakuche kesho yake panda mwendokasi hadi Mwanamboka, shuka. Nenda kituo cha Studio panda basi lolote kati ya Makumbusho Mbagala au Buza. Usipande Temeke usijejichanganya ukapanda la Buguruni.
Shuka Mwananyamala Hospitali mwanzoni. Vuka upande wa pili, piga about turn uwe umeipa mgongo lami ya hospitali. Tembea hatua tisa angalia kushoto kwako.
Utamkuta jamaa amening'iniza mashati ya mtindo huo na makoti ya suti.
Kama halipo kama hilo, we muonyeshe picha hiyo halafu umsikie anakwambia urudi lini kulifuata.
Hapana anashona huyo jamaaNi mtumba?
Thanks buddySijui upo mkoa gani ila panda bus shuka Ubungo.
Kisha lala hapohapo subiri pakuche kesho yake panda mwendokasi hadi Mwanamboka, shuka. Nenda kituo cha Studio panda basi lolote kati ya Makumbusho Mbagala au Buza. Usipande Temeke usijejichanganya ukapanda la Buguruni.
Shuka Mwananyamala Hospitali mwanzoni. Vuka upande wa pili, piga about turn uwe umeipa mgongo lami ya hospitali. Tembea hatua tisa angalia kushoto kwako.
Utamkuta jamaa amening'iniza mashati ya mtindo huo na makoti ya suti.
Kama halipo kama hilo, we muonyeshe picha hiyo halafu umsikie anakwambia urudi lini kulifuata.
Ninalo njoo nikuuzie.Wadau habari.
Naamini wapo wanaofahamu mapigo haya naweza pata wap shati kama hili.
Natanguliza shukurani
Ts temporary postView attachment 994380
Sent using Jamii Forums mobile app

KitengeWadau habari.