Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,790
- 3,263
Wakuu,
Nimepata kibarua kizuri cha kumnyoa msichana wangu sehemu nyeti , Huyu mdada hawezi hata kushika wembe kukata kucha zake and so mdada huyo ajawahi kunyoa maeneo hayo toka nywle zianze kumuota.
Sasa siwezi kumnyoa hivi hivi bila ya kutumia shaving cream kama ninavyojinyoa mimi mwenyewe kwa vile sitaki akumbane na adha kama ninayoipata Mimi (mapere na kuwashwa )!
So nimekuja kwenu mnitajie shaving cream nzuri na side effect zake ( kama zinawasha or others) ili nimuandae kisaikolojia. Nitashukuru kama mtanitajia na maduka ninayoweza kuzipata kirahisi.
Na pia kwa wale wataalamu wa kunyoa wapenzi wao naomba mnitajie challenges zozote mlizowahi kukumbana nazo wakati wa zoezi hilo!
Natanguliza shukrani zangu kwenu wakuu wangu.