mutisya mutambu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 208
- 82
anza course ya Communication skill, na uijue vizuri lugha ya Malkia
ndugu zanguni,naomba msaada wenu wa mawazo,sasa ni mwanafunzi wa telecommunications engineering mwaka wa pili,kozi ya miaka minne,nina nia ya
kuja kusoma masters baada tu ya kumaliza hapa,nianze kujiandaa kwa yepi sasa au bado mapema?
Master's degree ya fani ipi? Unataka kusoma katika mfumo upi wa elimu? UK? US/CANADA? SCANDINAVIA? NETHERLANDS/GERMANY? Utajisomesha au utatafuta ufadhili? Na baada ya kusoma,ka ni nje,una mpango wa kurudi TZ au utazamia? Ukijibu haya,then ndo nitakusaidia.
waweza soma kama ilvyokuwa kipindi kileeeee....upo FORM TWO lakini sylabuss ya FORM SIX ushaimaliza tuishen...hahaaaa elimu ya kibongo hiyo!!:whoo: