mng'oa kucha
Senior Member
- Jul 31, 2013
- 150
- 179
Nilikuwa nafanya kazi katika shirika fulani, na salary slip yangu ilikuwa inasomeka kama ifuatayo gross salary 200000, transport allowance 100000,medical allowance 100000,house allowance 100000.mwajiri alikuwa ananiwekea michango yangu ya pension asilimia kumi ya gross yaani shilingi elfu ishirini kisha nami nachangia elfu ishirini na kufanya jumla ya michango ya pension kwa mwaka kuwa elfu arobaini...halafu wanachukua gross salary +allowance zote tatu ambaye inaleta jumla ya shilingi laki tano ambazo wanazikata P.A.Y.E.....nimepata kazi katika shirika lingine ambapo nalipwa mshahara (gross) kiasi cha shilingi laki sita, jumlisha transport allowance laki na arobaini, nakufanya jumla ya shilingi laki saba kabla ya makato, kisha wananichangia pension 10% ya gross + allowance yaani shilingi elfu 74 na mimi wananikata elfu 74....kisha wanachukua tena laki saba na arobaini halafu wanailima P.A.Y.E swali langu ni kati ya hawa waajiri wawili ni yupi yuko sahihi kuhusu michango ya pension?