Habari wandugu,
Naomba wanasheria mnisaidie kama kuna kifungu chochote katika sheria ya ardhi kinachosema mtu anapouziwa eneo ni lazima kati ya mashahidi wawe watu wanaopakana na muuzaji.
Pia naomba kama kuna mtu ana contact ya mwanasheria mzoefu wa maswala ya migogoro ya ardhi ani pm contact za huyo mwanasheria.
Asanteni.