STREET SMART
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 837
- 672
Nenda kwa mwanasheria, hapa hutapata concrete answer. Hii ni ishu nyeti ipeleke kwa mwanasheria.
Hiyo ndiyo njia sahihi. mwaka 1980 sijui sheria ya road reserve ilikuwa inasemaje, nadhani ilikuwa 22.5 metres pande zote mbili za barabara! Hilo ndilo la kulihakikisha!Sawa mkuu ntafanya hivyo
soma paragraph ya kwanza ya hiyo hati.... uhai wa hiyo hati ni miaka 33.. na tangu iishe muda wake hujafanya juhudi zozote za kuongeza muda!!
Sheria ya ardhi, 1999 inatoa automatic renewal of right of occupancy anyway! ninesahau kifungu specific nadhani inahusu vile vile hati za nyuma. I will check!soma paragraph ya kwanza ya hiyo hati.... uhai wa hiyo hati ni miaka 33.. na tangu iishe muda wake hujafanya juhudi zozote za kuongeza muda!!
Sheria ya ardhi, 1999 inatoa automatic renewal of right of occupancy anyway! ninesahau kifungu specific nadhani inahusu vile vile hati za nyuma. I will check!
The Land regulations 2001 (subsidiarry Legislation supp No 16 of 2001) Land Form No. 24Sheria ya ardhi, 1999 inatoa automatic renewal of right of occupancy anyway! ninesahau kifungu specific nadhani inahusu vile vile hati za nyuma. I will check!
asante sanaThe Land regulations 2001 (subsidiarry Legislation supp No 16 of 2001) Land Form No. 24
Naona haiko kwenye mtandao. Iko kwenye scribd not available, kama unaweza niwekee hapa kwa mtandaoThe Land regulations 2001 (subsidiarry Legislation supp No 16 of 2001) Land Form No. 24
Ok!Sina uhakika kama ipo/haipo mkuu.... nikiipata nitakurushia.
cc CHUAKACHARA