Msaada sheria ya kodi

Msaada sheria ya kodi

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
750
Reaction score
151
Kwa wenye uzoefu na sheria ya mapato/kodi, je mliki wa , tuseme pikipiki, gari etc anatakiwa kulipa kodi ngapi? Pili je ni haki kulipishwa kodi mala mbili kwa kitu kile kile???? Na kama sio haki, je naweza kuishitaki serikali kwa kuniibia???
 
Back
Top Bottom