Msaada: Sheria ya kuomba barua ya utambulisho

Msaada: Sheria ya kuomba barua ya utambulisho

Msaghu

Member
Joined
Sep 24, 2019
Posts
5
Reaction score
0
Mimi nilikuwa naomba msaada wa Sheria ya kuomba kupewa barua ya utambulisho kuwa ulishafanya kazi kwenye kampuni uliyoacha kazi, au kuachishwa kazi kwa kusingiziwa kuwa mfanyakazi umeiba na huku hajafanya hicho kitendo.

Je, ni lazima apate recommendation letter?
 
Kwamba waku recommend kuwa ulikuwa mfanyakazi wa kampuni yao ila umeachishwa kwa wizi kwa hiyo unafaa sana kwa kuiba au?
 
Back
Top Bottom