Hizo sms zikifikishwa tu polisi, itafunguliwa kesi ya jinai.Ndugu zangu, hivi ikibainika kua mwanamke anapanga njama za kumuua mumewe na ikathibitishwa kua ni ili arithi mali na ushahidi ukawa ni wa sms ambazo anawasiliana na ndugu zake kutaka kufanikisha azma yao...sheria inasemaje, je ndoa hiyo ikivunjika mwanamke atakua na haki ya kupata gawio la mali?
Unawaza gawio tu! Hiyo ni police case na haihusiani na mambo ya ndoa.
Focus! Kama hamna amani kiasi cha kutishiana uhai hiyo ndoa inasaidia nini?
Hujanielewa kaka, namaanisha nimekuta sms za njama za mauaji juu yangu na zimetoka kwa baba na mama mkwe wangu, nia yao kubwa ni eti nikifa au kutengana nae nitawaachia mali nyingi. Hawajanitishia kuniua ila ni njama za kuniua

Wewe vipi? Mbna unakuwa mbishi? Kwani kufanya njama za kukuua siyo kosa la jinai?Hujanielewa kaka, namaanisha nimekuta sms za njama za mauaji juu yangu na zimetoka kwa baba na mama mkwe wangu, nia yao kubwa ni eti nikifa au kutengana nae nitawaachia mali nyingi. Hawajanitishia kuniua ila ni njama za kuniua
Mwachie kila kitu anza maisha mapya kabisa utakuwa na amani.