Msaada: Shule nimemaliza na majina mawili, nimeenda sehemu nimeambiwa nijaze matatu, nifanyeje?

Msaada: Shule nimemaliza na majina mawili, nimeenda sehemu nimeambiwa nijaze matatu, nifanyeje?

mtoto wa maskini

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
1,152
Reaction score
637
Shule nimemaliza na majina mawili mfano yani ALLY JUMA ndio ipo kwenye vyeti ila kila napoambiwa kujaza jina la tatu uwa naliweka katikati ili JUMA iendelee kuwepo mwisho yani; ALLY KASSIM JUMA, ila nimeenda sehemu wananiambia jina la tatu lazima liwe mwishoni yani ALLY JUMA KASSIM.

Je, kisheria jina langu sahihi ni lipi ikiwa vyeti vyangu vina majiba mawili tu?
 
Kama Kassim ndio jina lako la ukoo/mwisho inabidi utumie hilo, hata kama labda una majina matatu ya mwanzo.

Sijui inakuwaje zaidi kisheria ila labda kuna sehemu unaweza kwenda waka confirm ni wewe mtu mmoja.

cheti chako cha kuzaliwa kiliandikwaje? uliwaonyesha? hicho ndio chanzo ya yoteee mbeleni maishani.
 
jaza lolote lenye connection...mfano msuya...lowassa linaweza likakusaidia siku zijazo hasa kwa ajira
 
Shule nimemaliza na majina mawili mfano yani ALLY JUMA ndio ipo kwenye vyeti ila kila napoambiwa kujaza jina la tatu uwa naliweka katikati ili JUMA iendelee kuwepo mwisho yani; ALLY KASSIM JUMA, ila nimeenda sehemu wananiambia jina la tatu lazima liwe mwishoni yani ALLY JUMA KASSIM.

Je, kisheria jina langu sahihi ni lipi ikiwa vyeti vyangu vina majiba mawili tu?

HUna baba wala jina la ukoo...umesoma shule gani iliyokufanya zuzu kiasi hiki?

Ninauhakika umeuliza surname/Jina la ukoo........First name (jina lako) na Second name (ambayo kimsingi wengi hujaza jina la baba)................................ni standard hata passport requires that
 
Back
Top Bottom