samahani wakuu nimeona ni vema kushare na nyie ili muweze kunisaidia kwa hili naomba kwa mwenye kujua shule 5 zenye ufaulu mzuri kwa hapa tanzania ukiachilia mbali shule kama feza boys ,marian boys n.k ambazo ada yake ni kubwa ili niweze kumpeleka jamaa yangu nawasilisha