P Parachichi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2008 Posts 510 Reaction score 102 Oct 11, 2011 #1 Wakuu heshima zenu!nilikua naulizia kama kuna mdau yeyote anayefahamu shule nzuri ya awali yenye maadili mazuri iliyopo mbezi beach anijuze!kijana wangu nataka nimuanzishe mwakani! Nawasilisha wakuu.
Wakuu heshima zenu!nilikua naulizia kama kuna mdau yeyote anayefahamu shule nzuri ya awali yenye maadili mazuri iliyopo mbezi beach anijuze!kijana wangu nataka nimuanzishe mwakani! Nawasilisha wakuu.