Aende Ilboru..hiyo ndo shule pekee Arusha..nyingine zote atakutana na wahuni hadi achanganyikiwe.
Hiyo IPO Arusha Mkuu?
Aende Ilboru..hiyo ndo shule pekee Arusha..nyingine zote atakutana na wahuni hadi achanganyikiwe.
Sawa ni shule pekee lakini hiyo iliboru unayoisema wewe haina arts Mkuu
OK Mkuu ngoja niifuatilie
Wadau shule nzuri ni makumira tu usihangaike kwenda kwingine utajuta pia ukiona pamejaa nenda enaboishu pia ni nzuri bishop hakuna kitu mkuu