Haya Mkuu ebonaishu IPO Arusha sehemu gani?
Ebonaishu IPO Arusha sehemu gani Mkuu?
Mmnh Mkuu hiyo matokeo yao mabovu sana
Sasa mkuuu hapa naongelea A LEVEL sio o level
Sasa mkuuu hapa naongelea A LEVEL sio o level
Watu wanachanganya wamesahau kuwa o level na a level n tofauti!
Ok mkuu ila hiyo hapana siitaki
St.Mary Goret(Hii ndo mwisho wa Matatizo...kupata hapa kipindi hiko ilikuwa ni mpaka Div 1.13 kushuka mpaka 1.7)Kwa hali tuliyo nayo sasa simshauri kabisa kusoma arts ila kama o-level hakusoma sayansi ni bora asome EGM itamsaidia sana ila wakuu ninahitaji kupata list ya shule zote za advance zilizopo mkoani kilimanjaro. Nitaipataje?
Kwa hali tuliyo nayo sasa simshauri kabisa kusoma arts ila kama o-level hakusoma sayansi ni bora asome EGM itamsaidia sana ila wakuu ninahitaji kupata list ya shule zote za advance zilizopo mkoani kilimanjaro. Nitaipataje?
OK Mkuu ngoja niifuatilie
St.Mary Goret(Hii ndo mwisho wa Matatizo...kupata hapa kipindi hiko ilikuwa ni mpaka Div 1.13 kushuka mpaka 1.7)
Majengo
Kibosho Girls
Mawenzi
Ashira
Agape
Maua Seminary
Uru Seminary
St. James Seminary
Ni nyingi mno