Msaada: Shule nzuri ya private Arusha mchepuo wa HGK

St.Mary Goret(Hii ndo mwisho wa Matatizo...kupata hapa kipindi hiko ilikuwa ni mpaka Div 1.13 kushuka mpaka 1.7)
Majengo
Kibosho Girls
Mawenzi
Ashira
Agape
Maua Seminary
Uru Seminary
St. James Seminary

Ni nyingi mno

St.Amedeus
 
bishop mm nlisoma tena kipindi hicho kukiwa na wanafunz weng lakini cjawahiona kitu kama hicho na ilikuwa kila cubic unakuta vitanda vitatu tu!
 
the best private school in arusha for A-level(arts) BISHOP DURNING,ENAIBOSHU,EDMUNDRICE,MAKUMIRA,ARUSHA MERU,BONDENI,ARUSHA MODERN,ELISHAMA, MORINGE NA WINNING SPIRIT

Mkuu ELISHAMA hiyo si shule ya watoto aisee na hiyo winning spirit ni o level tu
 
Kwa Arusha Shule kongwe ZA A level ambazo Ni Nzuri ni Enaboishu na Makumira Na ni za bweni kwa upande wa Day ZIKO Arusha Meru na Bondeni hizi pia ni kongwe na Walimu wazuri.... Edmund Rice ni Nzuri kwa masomo YA Sayansi...
Bishop Durning, Arusha Modern, Mairiva, Mukidoma huko ni full usanii ila ka unahitaji center tu maelekezo tu... Arusha Seminary, Usa Seminary, St .jude ni Nzuri ila kuzipata ni kazi
NB. Kwa wasichana kuna Ngarenaro Girls "Kwa babu"
 
ngarenaro now n chuo kikuu cha saut tawi la arusha na elishama iko njiro na cyo shule ya watoto,vp jaffery high school
 
ngarenaro now n chuo kikuu cha saut tawi la arusha na elishama iko njiro na cyo shule ya watoto,vp jaffery high school
Ngarenaro imehamia Kisongo, Jaffery pia ni Nzuri ila mazingira fulani.. Elishama hapo sijakusoma
 
Mkuu St.Jude cnasikia huwaga wanaangalia na mazingira uliyotoka
 
ngarenaro now n chuo kikuu cha saut tawi la arusha na elishama iko njiro na cyo shule ya watoto,vp jaffery high school

OK mkuu hiyo elishama mbona haipo kwenye list ya A level au Ndio ikeanzisha mwaka Jana A level?
 
ngarenaro now n chuo kikuu cha saut tawi la arusha na elishama iko njiro na cyo shule ya watoto,vp jaffery high school

Hiyo jaffery high school nimeicheki IPO vizuri aisee ngoja niifiatilie
 
Mkuu St.Jude cnasikia huwaga wanaangalia na mazingira uliyotoka

Yeah ni Hivyo ila wakiwa wanahitaji wanaita ila uwe Una marks Nzuri sana! Mwaka Juzi waliita A level students... Pia kuna moja iko Ngaramtoni design hiyo YA Jude inaitwa Sijui st. Nini ni mpya Ina A level pia
 
Kazingira flani kivipi tena mkuu?

Ukitembelea hapo shuleni utanielewa! Inamilikiwa na Ithna Ashaar so kuna element za uhindi ukimix na Ushua! Yani we nenda UONE pia Ada yake ni juu kidogo!
 
Ukitembelea hapo shuleni utanielewa! Inamilikiwa na Ithna Ashaar so kuna element za uhindi ukimix na Ushua! Yani we nenda UONE pia Ada yake ni juu kidogo!

Ohooo hapo nimekusoma Mkuu
 
Yeah ni Hivyo ila wakiwa wanahitaji wanaita ila uwe Una marks Nzuri sana! Mwaka Juzi waliita A level students... Pia kuna moja iko Ngaramtoni design hiyo YA Jude inaitwa Sijui st. Nini ni mpya Ina A level pia

Ya ngara mtoni zipo mbili kuna Cornerstone alafu kuna hii naisikia sijui Ndio SOS HERMAN GMEINER natafuta balaa
 
YAAH ELISHAMA INA A LEVEL ILA HILI JINA NMELIKOSEA THUS Y HUKUONA BUT UKIFIKA NJIRO GOROFA MBILI UKIULZA UTAELEKEZWA NA JIna limefanana na hilo mkuu,na jaffery watakuwa na artz kwel siyo sayansi na economics?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…