Msaada Shule Nzuri ya Private (Boarding-Boys)

masatujr1985

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
1,980
Reaction score
784
Tafadhalini wadau nisaidieni kutambua shule zenye ufundishaji mzuri Kwa A-level, Moa wa Kilimanjaro, Arusha au Mbeya arts Combination. Maana Nina mdogo wangu anahitaji kupata shule Kwa ajili ya kidato cha tano katika mikoa hiyo.
Aksanteni.
 
Swilla high scul are the best ipo mbey coz mi mwenyewe nime Apply hapo
 
Kwa mbeya-SANGU HIGH SCHOOL,PANDAHILL,MBALIZ HIGH SCHOOL,MLIMA MBEYA HIGH SCHOOL,SOUTHERN HIGHLAND e.t.c,zote hizi ni nzuri lakn PANDAHILL ndo BABA LAO.
 
Kama anasoma HGL, basi Sangu Sec School ni nzuri sana. Shida ni competition kwenye HGL. Inatakiwa awe na performance nzuri sana. Hata wale waliochaguliwa kujiunga A level shule za serikali kwa mchepuo wa HGL hukosa nafasi wakiomba hapo.
 
Asante sana ndugu.
 
Vp Kwa Kilimanjaro na Arusha jamani? Mlioko maeneo haya naombeni msaada Kwa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…