Msaada: shule za private nzuri zilizopo Moshi.

kelvin.pcb

Senior Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
175
Reaction score
21
kwanza kabsa napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, kwani mawazo yenu yamekuwa yakiwasaidia watu wengi tu, waliopotea na kukata tamaa, heshima yenu wakuu.
Lengo kabsa la kuachia uzi huu n kutaka kufahamu ni shule zipi nzur za priv zilizopo mkoa wa moshi zenye comb ya PCB, ningependa kufahamu na ada zake pia.

Katika selection zilizotolewa hivi majuzi ni utata mtupu, ni selection zilizojaa kejeli na kukatisha tamaa, mm pamoja na skul mates wangu 29, wengi tukiwa wale tuliokuwa tunachukua masomo ya sayansi tumetupwa MWAKALELI ipo TUKUYU, hafu mbaya zaidi wote comb 1 HGE, japokuwa masomo ya sayansi tulifaulu vizuri, mm kwenye PCB nilikuwa na CBB, nimejaribu kufatilia swala la uhamisho hadi kwa afisa elimu mkoa, ila anadai inabidi 2kasome kwanza miezi sita, ndipo maswala ya uhamisho yatafanyika, inasikitisha sana kwani Taifa hili linalodai kila siku kuwa linahitaji wanasayansi linatufanyia hv, nawasilisha uzi wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…