Msaada: Shule zenye Kidato cha Sita zinazotoza ada chini ya 900,000 mchepuo wa HGL

Msaada: Shule zenye Kidato cha Sita zinazotoza ada chini ya 900,000 mchepuo wa HGL

Kama popote nenda mbeya shule hizi zitakufaa mbalizi high school,itende secondary school hata sangu sec schoo, matokeo yao ni mazuri kwa combination hizo unaweza kuzitazama mtandaoni kwa more details.
 
Jaribu kucheck shule za jeshi

Jitegemee
Makongo
Airwing

Hizi ni shule nzuri sana zina nidhamu ya malezi na gharama zake ni nafuu haziwezi kuzidi 900k
Yaaah umenenaaa hata hizo nimesoma olevel makongo ni laki 7
 
Back
Top Bottom