Joseph midimu
Senior Member
- Mar 8, 2024
- 141
- 210
Hata ukiwa,, na GPA ya 2.0 unaruhusiwa tu.¿Umehitimu mwaka huu kijana?
Ukiingia kitaani Achana na mambo ya GPA.
Nenda ajira portal jisajili anza kufanya applications.
Kila la Heri
Sent from my SM-A325N using JamiiForums mobile app
Yupo humu,, ndani.¿Yupo mtaalamu wa mambo ya walimu atakuja soon kukupa hints
Kuna baadhi ya shahada za elimu inakuwa rahisi kujiajiri/kuajiriwa ukianza kwa kujitolea - volunteering
NAZUNGUMUZIA KUHUSU,, GPA NI IPI AMBAYO INAHITAJIKA NA NISIFA ZIPI LAZIMA NIWE NAZO.¿Wewe subiri tu watangaze ajira uombe kupitia ajira portal Physics na Maths ni dili kwenye ualimu hata ukifeli interview ajira utapata
NINA 3.0,, GPA.Una gpa ya ngapi?
Pass tu inatosha jisajiliNAZUNGUMUZIA KUHUSU,, GPA NI IPI AMBAYO INAHITAJIKA NA NISIFA ZIPI LAZIMA NIWE NAZO.¿
AMA GPA HAINA EFFECTS YAANI NI EFFECTLESS
!
LAKINI NASIKIA,, WATU WANASEMA MPAKA NIWE NA GPA AT LEAST 3.5 NA KUENDELEA JAPO MM NINA 3.0 HIVYO INANIPA HOFU.
LAKINI NASIKIA,, WATU WANASEMA MPAKA NIWE NA GPA AT LEAST 3.5 NA KUENDELEA JAPO MM NINA 3.0 HIVYO INANIPA HOFU.
Ajira pekee ambazo zinategemea ufaulu wa GPA ni zinazohusu kufundisha vyuo lectures hao tutors huku kwengine ni soko huria inatagmea na bahati yako tu plus maandalizi story ni nyingi ila ukweli na uhalisia ni tofaut wew muhim andaa cv vyeti viandae vipigwe muhuri wa mwanasheria jisajili ajiraportal ikitokea kazi unaomba sambaza cv vituo BINAFSI na vya serikali muombee munguNAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO,, NIMECHANGANYIKIWA!
HIVI NINA DEGREE YA UALIMU WA MATH'S AND PHYSICS, NACHOHITAJI KUJUA NI KWAMBA NARUHUSIWA KUOMBA AJIRA SERIKALINI ANGALAU NIKIWA NA GPA YA NGAPI.¿ PIA NI SIFA GANI ZINAZOHITAJIKA.¿