Mmea wa Mlonge nimeamini huu mmea ni nomaa,ni mwezi wa tano yangu nimeanza kuutumia,nashukuru mungu siku zangu za hedhi zilikuwa hazieleweki,lakini sasa zimejipanga baada ya kushauriwa kunywa juice ya mlonge.hakika mlonge udumu milele. Jaribu huo mti