Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante ila mbona kama swala la usafi najitahidi sana yaan hta sielewi chanzo ni nin?Mimi siyo dakitari lakini
usafi unaplay role kubwa hapa. Hakisha baada ya kuoga unakaausha kabisa
hizo sehemu zako. Hii isiwe zima moto, ijenge tabia hiyo. Kingine ni
nguo ya ndani iwe ni ya pamba na siyo vinginevyo. Pole mkuu, natumai
maono haya yatakusaidia.
Asante ntakutafutaPole dada sana.Unatatizo
la fungus na sio kitu kingine.hata kama u msafi kiasi gani haliwezi
kisha mapema kama ujagundua njia mbadala ya kuondokana na hilo tatizo na
kwa vile wewe ni wa kike basi nahisi utakuwa unajisikia vibaya
sana.Kuna dawa za asili z kupambana na bacteria kama hao moja kwa moja
na ujisikie mkamilifu tena,naomba usiogope kuwasiliana nami ili tuongee
ana kwa ana kupitia namba hizo:0657117377/0762395110.Nitakuwa na muda
siku ya kesho na keshokutwa kuanzia saa kmi jioni.karibu sana