Msaada: Sijui huu ni ugonjwa gani?

cuchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
218
Reaction score
74
habari zenu,nina tatizo la kutoa harufu na kutoka na utando mweupe sehemu nyeti,nimejitahidi kutumia tiba mbalimbali ila napona hlf baada ya muda hali inajirudia tena.nisaidie sina raha
 
Mimi siyo dakitari lakini usafi unaplay role kubwa hapa. Hakisha baada ya kuoga unakaausha kabisa hizo sehemu zako. Hii isiwe zima moto, ijenge tabia hiyo. Kingine ni nguo ya ndani iwe ni ya pamba na siyo vinginevyo. Pole mkuu, natumai maono haya yatakusaidia.
 
asante ila mbona kama swala la usafi najitahidi sana yaan hta sielewi chanzo ni nin?
 
Pole dada sana.Unatatizo la fungus na sio kitu kingine.hata kama u msafi kiasi gani haliwezi kisha mapema kama ujagundua njia mbadala ya kuondokana na hilo tatizo na kwa vile wewe ni wa kike basi nahisi utakuwa unajisikia vibaya sana.Kuna dawa za asili z kupambana na bacteria kama hao moja kwa moja na ujisikie mkamilifu tena,naomba usiogope kuwasiliana nami ili tuongee ana kwa ana kupitia namba hizo:0657117377/0762395110.Nitakuwa na muda siku ya kesho na keshokutwa kuanzia saa kmi jioni.karibu sana
 
japo hujataja umri mostl inaweza kuwa fungus,trichomoniasis au bacteria vaginosis ambayo ndi very common hii kam upo sexual active,au unajisafisha sana kwa vidole au kama unavuta sigara japo mara nyingi watu wantibu fungus bt inawezekana una aina hii so jaribu kwenda hospital uonane na gyncologist na sio despensiries na pia usitumie tu dawa nyumban mwwnyewe
 
Asante ntakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…