Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu nina tatizo la sikio langu linauma kwa ndani kuna kama kipele hivi yaani nimevumilia nimeshindwa je tiba yake ni nini? ntashukuru nikipata majibu hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu Nina tatizo la sikio langu linauma kwa ndani... kuna kama kipele hivi yaani... nimevumilia nimeshindwa.. je tiba yake ni nini??.... ntashukuru nikipata majibu hapa...
ENT ndiyo nini mkuu?Linatoa uchafu wowote?
Je lilianza ghafla tu au lilianza taratibu kisha kuzid?
Je umepata dalili za homa?
Je unasikia vizur au unahis uwezo wa kusika umepungua?
Nakushaur uende hospital kwa wataalamu wa ENT utapata tiba mbadala
E... Ear
N....Nose
T...Throat
Pamoja sana jembeAsante
Asante Sana mkuuLinatoa uchafu wowote?
Je lilianza ghafla tu au lilianza taratibu kisha kuzid?
Je umepata dalili za homa?
Je unasikia vizur au unahis uwezo wa kusika umepungua?
Nakushaur uende hospital kwa wataalamu wa ENT utapata tiba mbadala
mkuu maumivu we acha tyuu.. saivi naenda hospitalSikio na Jino we viache tu ni hatari!
Pole Kaka nenda hospitali wakuchunguze unaweza kuta ni jipu au chunusi pia kabla ya hitilafu ya Meno skio hushtuliwa kukukumbusha