Msaada: Sikio langu linauma kwa ndani nini tiba yake?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu nina tatizo la sikio langu linauma kwa ndani kuna kama kipele hivi yaani nimevumilia nimeshindwa je tiba yake ni nini? ntashukuru nikipata majibu hapa.
 
Linatoa uchafu wowote?
Je lilianza ghafla tu au lilianza taratibu kisha kuzid?
Je umepata dalili za homa?
Je unasikia vizur au unahis uwezo wa kusika umepungua?

Nakushaur uende hospital kwa wataalamu wa ENT utapata tiba mbadala
Wakuu Nina tatizo la sikio langu linauma kwa ndani... kuna kama kipele hivi yaani... nimevumilia nimeshindwa.. je tiba yake ni nini??.... ntashukuru nikipata majibu hapa...
 
ilishawahi kunitokea ikawa ni jipu ,maumivu ya sikio sio mchezo ,pole sana mkuu
 
Linatoa uchafu wowote?
Je lilianza ghafla tu au lilianza taratibu kisha kuzid?
Je umepata dalili za homa?
Je unasikia vizur au unahis uwezo wa kusika umepungua?

Nakushaur uende hospital kwa wataalamu wa ENT utapata tiba mbadala
ENT ndiyo nini mkuu?
 
Sikio na Jino we viache tu ni hatari!
Pole Kaka nenda hospitali wakuchunguze unaweza kuta ni jipu au chunusi pia kabla ya hitilafu ya Meno skio hushtuliwa kukukumbusha
 
Asante Sana mkuu
 
Sikio na Jino we viache tu ni hatari!
Pole Kaka nenda hospitali wakuchunguze unaweza kuta ni jipu au chunusi pia kabla ya hitilafu ya Meno skio hushtuliwa kukukumbusha
mkuu maumivu we acha tyuu.. saivi naenda hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…