AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
mimi niliappeal mkopo semista iliyopita na nimepata. sasa niliokuwa naomba kujuzwa je nitapewa hela kuanzia semista ya pili tu au watanipa na laki mbili stationery ambayo sikupewa? maana nimesikia eti wanatoa mpaka za nyuma ambazo hawakunipa na stationary pia ambayo hawakunipa ya semista ya kwanza.maana sijafungua chuo bado sijajua information zaidi, waliopo chuo ndio wameniangalizia jina na kwenye majina hawajaspecify vizuri.