Msaada:sikupata mkopo nimeappeal nimepata sasa na

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
mimi niliappeal mkopo semista iliyopita na nimepata. sasa niliokuwa naomba kujuzwa je nitapewa hela kuanzia semista ya pili tu au watanipa na laki mbili stationery ambayo sikupewa? maana nimesikia eti wanatoa mpaka za nyuma ambazo hawakunipa na stationary pia ambayo hawakunipa ya semista ya kwanza.maana sijafungua chuo bado sijajua information zaidi, waliopo chuo ndio wameniangalizia jina na kwenye majina hawajaspecify vizuri.
 

Hongera kwa kupata mkopo
 

mkuu kumbe ulukosaga mkopo...!daah hongeraa kwa kupata nw..,kuhusu fedha utalipwa yoote hadi ya semista ya kwanza...!

shavuu mkuu...!
 
mkuu kumbe ulukosaga mkopo...!daah hongeraa kwa kupata nw..,kuhusu fedha utalipwa yoote hadi ya semista ya kwanza...!

shavuu mkuu...!
oky thanks mkuu umenifumbua macho.
 
wengne tuliambiwa mkopo hautoshi
hamna mkuu,kama unasababu maalum labda huna mzazi mmoja alafu hawakukupa wanakupa.mfano mimi kunavithibitisho nikaambatanisha(nimelelewa na mzazi mmoja na o level nilikuwa nadhaminiwa nikapeleka barua) na wakanipa.zaidi Namshukuru Mumgu maana maisha ya chuo gharama
 
nashukuru kwa kunielewesha ila nakomaa tu sitakata tamaa bwanah maisha yanaitaji mpijanaji,thnks bro kwa kunipa moyo na kuniondoa uoga
 
nashukuru kwa kunielewesha ila nakomaa tu sitakata tamaa bwanah maisha yanaitaji mpijanaji,thnks bro kwa kunipa moyo na kuniondoa uoga
oky thank mkuu life ni lapiganaji,wanaokata tamaa wanatoka kwenye gemu..."survival for the fittest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…