Eternally to be
Member
- Oct 30, 2021
- 54
- 58
Nimetoboka sana mkuu kupata hii simu afu inataka kufa kizembe kabisa na ukiiangalia inaonekana bado mpyaTajiri naona umepagawa...umeanzisha nyuzi tatu
Kwanini ulifanya factory reset na unajua Kabisa simu refurb bola ingekuwa usedNimetoboka sana mkuu kupata hii simu afu inataka kufa kizembe kabisa na ukiiangalia inaonekana bado mpya
Wataalamu watakusaidiaNimetoboka sana mkuu kupata hii simu afu inataka kufa kizembe kabisa na ukiiangalia inaonekana bado mpya
[emoji23] Kuna watu wanateseka aiseeWakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error.
Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa.
Hii simu ni simu yangu wakuu na neitumia miezi mitano make nilinunua refurbished shida imekuja baada ya kufactory data reset.
Na pia nikisema nitatue hili tatizo kwa kudisable Google services sitoweza kutumia playstore, email services almost vitu vyote vya msingi vinavyohusu Google kwenye simu
Bei gan hyo mkuuNimetoboka sana mkuu kupata hii simu afu inataka kufa kizembe kabisa na ukiiangalia inaonekana bado mpya
Fa masihara niniTajiri naona umepagawa...umeanzisha nyuzi tatu