Msaada: Simu wangu inashindwa ku-update WhatsApp

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
485
Reaction score
876
Simu yangu ni Samsung S 8

Nilikuwa najaribu ku-update WhatsApp lakini nimeshindwa.

Nimejaribu ku uninstall ili niirudishe upya pia imeshindikana.

Kinachotokea nikiingia kwenye google play naipata app ya WhatsApp lakini niki download inaload tu haiwezi download.

Naomba mnisaidie shida itakuwa nini?

 
Apo kwa screen shoot inaonekana whatsapp ipo pending inamaana kuna file lingine linaingia.
Nenda seting kwenye file la google play store kisha clear catch.
Baada ya apo rudi tena play store kuingiza whatsapp.
 
Si walitangaza android version fulani hazitaweza ku upgrade whatsap
 
Shikilia icon ya Playstore kwenye homescreen. Chagua option ya App Info. Ukiingia humo chagua Storage and cache option. Clear data then fungua playstore na uendelee kudownload. Kma jamaa hapo alivyosema kwamba kuna app nyingine inajaribu kuupdate or kuinstall, ukifanya hvyo nilivyoelekeza itatoa pending apps zote na utaweza download tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu, nimefanikiwa.
 
Apo kwa screen shoot inaonekana whatsapp ipo pending inamaana kuna file lingine linaingia.
Nenda seting kwenye file la google play store kisha clear catch.
Baada ya apo rudi tena play store kuingiza whatsapp.
ubarikiwe mkuu, nimefanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…