Msaada: Simu yangu haitoi sauti mpaka niweke lound speaker

Msaada: Simu yangu haitoi sauti mpaka niweke lound speaker

David11

Member
Joined
Mar 15, 2024
Posts
28
Reaction score
19
Habari wakuu samahani simu yangu inatatizo nilikuwa naomba msaada.

Ninapompigia mtu au ninapopigiwa simu haitoi sauti mpaka niweke lound speaker tatizo ni nini na ni jinsi gani ya kulitatua yaani nikiweka lound speaker ndo nasikia.
 
Speaker ndogo imeharibika peleka tu kwa fundi na afu tatu yako tu zingatia neno AFU TATU.
 
Back
Top Bottom