Habari wakuu samahani simu yangu inatatizo nilikuwa naomba msaada.
Ninapompigia mtu au ninapopigiwa simu haitoi sauti mpaka niweke lound speaker tatizo ni nini na ni jinsi gani ya kulitatua yaani nikiweka lound speaker ndo nasikia.
Ninapompigia mtu au ninapopigiwa simu haitoi sauti mpaka niweke round speaker tatizo ni nini na ni jinsi gani ya kulitatua.yaani nikiweka round speaker ndoa naskia